Ufafanuzi wa pengwini katika Kiswahili

pengwini

nominoPlural pengwini

  • 1

    ndege mnene anayeogelea na kuishi nchi kavu, mwenye rangi nyeusi na nyeupe na miguu mifupi, asiyeweza kuruka juu, anayepatikana sana sehemu za Antaktiki.

Asili

Kng

Matamshi

pengwini

/pɛngwini/