Ufafanuzi msingi wa peni katika Kiswahili

: peni1peni2

peni1

nominoPlural mapeni, Plural peni

  • 1

    sarafu ya thamani ya chini katika fedha za Kiingereza.

  • 2

    sarafu ya shaba.

Asili

Kng

Matamshi

peni

/pɛni/

Ufafanuzi msingi wa peni katika Kiswahili

: peni1peni2

peni2

nominoPlural mapeni, Plural peni

  • 1

    kalamu ya wino.

Asili

Kng

Matamshi

peni

/pɛni/