Ufafanuzi wa peninsula katika Kiswahili

peninsula

nominoPlural peninsula

  • 1

    sehemu ya nchi iliyozungukwa na bahari isipokuwa sehemu ndogo.

    rasi

Asili

Kng

Matamshi

peninsula

/pɛninsula/