Ufafanuzi wa penua katika Kiswahili

penua

kitenzi elekezi

  • 1

    tenganisha vitu viwili vilivyo pamoja ili kupata nafasi kubwa.

    ‘Amepenua makuti ya ua, akapenya’

Matamshi

penua

/pɛnuwa/