Ufafanuzi wa pepe katika Kiswahili

pepe

nominoPlural mapepe

  • 1

    punje zisizo na nafaka katika suke k.v. la mpunga au mtama.

    kapi, kununu

Matamshi

pepe

/pɛpɛ/