Ufafanuzi msingi wa pepea katika Kiswahili

: pepea1pepea2pepea3

pepea1

kitenzi elekezi~ana, ~lea, ~leka, ~wa, ~lesha, ~leana

 • 1

  punga kitu ili kilete upepo.

  ‘Wapambe humpepea bwana harusi’

 • 2

  pigwapigwa na upepo.

  ‘Bendera inapepea’

 • 3

  puliza moto kwa kutumiwa kitu ili uweze kuwaka.

Matamshi

pepea

/pɛpɛja/

Ufafanuzi msingi wa pepea katika Kiswahili

: pepea1pepea2pepea3

pepea2

kitenzi elekezi~ana, ~lea, ~leka, ~wa, ~lesha, ~leana

 • 1

  kosa nguvu au hali ya kawaida kutokana na ukosefu wa kitu fulani.

  ‘Toka rafiki yake alipoondoka, Juma amepepea’

Matamshi

pepea

/pɛpɛja/

Ufafanuzi msingi wa pepea katika Kiswahili

: pepea1pepea2pepea3

pepea3

kitenzi elekezi~ana, ~lea, ~leka, ~wa, ~lesha, ~leana

 • 1

  weka matunda k.v. ndizi, embe au mapapai chini ya ardhi na kuyatia joto ili yaive kabla ya wakati wake.

  ‘Embe la kupepea’
  vumbika

Matamshi

pepea

/pɛpɛja/