Ufafanuzi wa pepesa katika Kiswahili

pepesa

kitenzi elekezi

  • 1

    chezesha kope kwa kuzipeleka juu na chini kwa haraka.

    kopesa

Asili

Khi