Ufafanuzi wa pepesua katika Kiswahili

pepesua

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~lisha, ~liwa

  • 1

    fanya kitu kiyumbeyumbe.

Matamshi

pepesua

/pɛpɛsuwa/