Ufafanuzi wa pepua katika Kiswahili

pepua

kitenzi elekezi

  • 1

    peta na kuengua nafaka ili kutenganisha punje kubwa na ndogo.

Matamshi

pepua

/pɛpuwa/