Ufafanuzi msingi wa peremba katika Kiswahili

: peremba1peremba2peremba3

peremba1

kitenzi elekezi

  • 1

    lenga kwa utaratibu ili kupata shabaha.

Matamshi

peremba

/pɛrɛmba/

Ufafanuzi msingi wa peremba katika Kiswahili

: peremba1peremba2peremba3

peremba2

kitenzi elekezi

  • 1

    enda kwa uangalifu.

Matamshi

peremba

/pɛrɛmba/

Ufafanuzi msingi wa peremba katika Kiswahili

: peremba1peremba2peremba3

peremba3

kitenzi elekezi

Matamshi

peremba

/pɛrɛmba/