Ufafanuzi wa perembe katika Kiswahili

perembe

nominoPlural perembe

  • 1

    filimbi iliyotengenezwa kwa mwanzi wa mtama.

Matamshi

perembe

/pɛrɛmbɛ/