Ufafanuzi msingi wa pesa katika Kiswahili

: pesa1pesa2

pesa1

nominoPlural pesa

 • 1

  sarafu yenye thamani ya chini katika fedha za India.

 • 2

  sarafu yenye thamani ya senti tatu.

 • 3

  sarafu na noti zinazotolewa na kuidhinishwa na serikali au benki kuwa ni fedha rasmi na halali za kubadilishana na bidhaa zinazonunuliwa au mahitaji na huduma zinazotakiwa.

  fedha, hela, ghawazi, ndarama, dirhamu, faranga, fulusi, senti, gome, mbango, dinari, mbuda

Asili

Khi

Matamshi

pesa

/pɛsa/

Ufafanuzi msingi wa pesa katika Kiswahili

: pesa1pesa2

pesa2

kitenzi elekezi

Asili

Khi

Matamshi

pesa

/pɛsa/