Ufafanuzi wa petali katika Kiswahili

petali

nominoPlural petali

  • 1

    sehemu ya ua yenye rangi ambayo huvutia wadudu na ndege.

    ‘Ua lenye petali tano’

Asili

Kng

Matamshi

petali

/pɛtali/