Ufafanuzi wa petua katika Kiswahili

petua

kitenzi elekezi

  • 1

    geuza chini kuwa juu.

    pindua

  • 2

    geuza ndani kuwa nje.

Matamshi

petua

/pɛtuwa/