Ufafanuzi wa pevua katika Kiswahili

pevua

kitenzi elekezi~lia, ~liana, ~lika, ~liwa, ~sha

  • 1

    fanya kuwa pevu.

Matamshi

pevua

/pɛvuwa/