Ufafanuzi wa pezi katika Kiswahili

pezi

nomino

  • 1

    kiungo kilicho mbavuni na mgongoni mwa samaki kinachomwezesha kwenda.

Matamshi

pezi

/pɛzi/