Ufafanuzi wa piano katika Kiswahili

piano

nominoPlural piano

  • 1

    ala kubwa ya muziki yenye vibanzi vyeupe na vyeusi ambavyo hubonyezwa na kutoa sauti tofauti.

Asili

Kng

Matamshi

piano

/pijanɔ/