Ufafanuzi wa Piga/Tia hanjamu katika Kiswahili

Piga/Tia hanjamu

nahau

  • 1

    tolea mtu ukali kwa kujidai umekasirika; karipia, hamakia.