Ufafanuzi wa Piga kite katika Kiswahili

Piga kite

msemo

  • 1

    toa kilio kwa maumivu au uchungu; jikakamua kwa uchungu k.v. katika uzazi.