Ufafanuzi wa pigania katika Kiswahili

pigania

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~sha, ~wa

  • 1

    fanya juu chini ili kupata jambo fulani.

    ‘Anapigania masilahi ya wakulima’
    tetea

Matamshi

pigania

/piganija/