Ufafanuzi wa pigi katika Kiswahili

pigi

nominoPlural pigi

  • 1

    kipande cha mti au mzizi kinachofungwa kwenye ugwe kinachotumiwa kuwa ni dawa.

  • 2

    vipande vya kuni au mbao, n.k. vinavyorushwa mtini ili kupigia na kuangulia matunda.

Matamshi

pigi

/pigi/