Ufafanuzi wa pigia katika Kiswahili

pigia

kitenzi elekezi

  • 1

    piga mwingine kwa sababu fulani au kwa kifaa fulani.

    ‘Alimpigia fimbo ya mpera’

Matamshi

pigia

/pigija/