Ufafanuzi wa pigilia katika Kiswahili

pigilia

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~sha, ~wa

  • 1

    lazimisha kitu, agh. msumari upenye na kuingia sehemu ngumu.

Matamshi

pigilia

/pigilija/