Ufafanuzi wa pika majungu katika Kiswahili

pika majungu

msemo

  • 1

    anzisha na eneza maneno ya uchonganishi miongoni mwa watu.