Ufafanuzi wa pilikapilika katika Kiswahili

pilikapilika, pirikapirika

nomino

  • 1

    uendaji wa huko na huko au utendaji wa shughuli nyingi zaidi ya kawaida wakati wa kufanya jambo.

    hekaheka, kele, mishemishe