Ufafanuzi wa pilipilimanga katika Kiswahili

pilipilimanga

  • 1

    pilipili ambayo ni punjepunje ngumu nyeusi inayotumika kuwa ni kiungo cha chakula.

Asili

Kaj