Ufafanuzi wa piliza katika Kiswahili

piliza

kitenzi elekezi

  • 1

    -pa mtu kitu kupitia kwa mtu mwingine.

Matamshi

piliza

/piliza/