Ufafanuzi wa pimamaji katika Kiswahili

pimamaji

nomino

  • 1

    chombo kinachotumiwa na waashi au maseremala kupima usawa wa unyookaji wa kitu.

Matamshi

pimamaji

/pimamaŹ„i/