Ufafanuzi wa pinda katika Kiswahili

pinda

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    fanya kuwa na tao kwa kukunja kidogo kitu k.v. hinzirani.

    peta, beta

  • 2

    shona k.v. nguo, kitambaa au ngozi, kwa kukunja kidogo kwenye kingo.

Matamshi

pinda

/pinda/