Ufafanuzi wa pindika katika Kiswahili

pindika

kitenzi sielekezi

  • 1

    -wa na tao au mkunjo.

    ‘Sindano hii haifai katika mashine kwani imepindika mno’

Matamshi

pindika

/pindika/