Ufafanuzi msingi wa pindu katika Kiswahili

: pindu1pindu2pindu3

pindu1

kivumishi

 • 1

  -enye kuweza kupinduka au kugeuka; -enye tabia ya kupinduka au kugeuka.

Matamshi

pindu

/pindu/

Ufafanuzi msingi wa pindu katika Kiswahili

: pindu1pindu2pindu3

pindu2

kielezi

 • 1

  neno litumiwalo kusisitizia upindukaji.

  ‘Pinduka pindu’

Matamshi

pindu

/pindu/

Ufafanuzi msingi wa pindu katika Kiswahili

: pindu1pindu2pindu3

pindu3

nominoPlural mapindu

kishairi
 • 1

  kishairi mashairi yatumiayo mbinu ya kupindua maneno ambapo kipande cha mwisho cha kituo huwa ndicho kipande cha kwanza cha mshororo wa kwanza wa ubeti unaofuata au mshororo wa mwisho wa ubeti hurudiwa kama mshororo wa kwanza katika ubeti unaofuata na kuendelea.

Matamshi

pindu

/pindu/