Ufafanuzi wa pingili katika Kiswahili

pingili

nominoPlural pingili

  • 1

    sehemu iliyo katikati ya vifundo viwili.

    ‘Pingili ya muwa’

Matamshi

pingili

/pingili/