Ufafanuzi wa pini katika Kiswahili

pini

nominoPlural pini

  • 1

    kifaa kilichotengenezwa kwa madini kinachotumika kushikizia vitu k.v. nguo, nywele au karatasi.

Asili

Kng

Matamshi

pini

/pini/