Ufafanuzi wa pirikana katika Kiswahili

pirikana

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    fanya bidii, agh. kwa kutumia nguvu, ili kutimiza jambo.

    ‘Mfuniko wa pipa ulikuwa mgumu lakini nilipirikana nao mpaka nikaufungua’

Matamshi

pirikana

/pirikana/