Ufafanuzi wa pishori katika Kiswahili

pishori

nomino

  • 1

    mchele ulio mweupe na mwembamba na unaoaminiwa kuwa ndio bora kuliko mwingine.

Asili

Khi

Matamshi

pishori

/pi∫ɔri/