Ufafanuzi wa pistoni katika Kiswahili

pistoni

nomino

  • 1

    kifaa cha mcheduara kinachopanda na kushuka ndani ya injini.

Asili

Kng

Matamshi

pistoni

/pistɔni/