Ufafanuzi wa pitia katika Kiswahili

pitia

kitenzi sielekezi~ana, ~iwa, ~ka, ~lia, ~liana, ~sha, ~wa

  • 1

    tembelea mtu au mahali kwa muda mfupi.

  • 2

    enda kwa au karibu na mahali fulani.

Matamshi

pitia

/pitija/