Ufafanuzi wa pitiliza katika Kiswahili

pitiliza

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    vuka kiwango kilichokusudiwa.

  • 2

    enda moja kwa moja bila kusimama.

    ‘Basi halikusimama kituoni, lilipitiliza’

Matamshi

pitiliza

/pitiliza/