Ufafanuzi wa pitua katika Kiswahili

pitua

kitenzi elekezi~ka, ~lia, ~liana, ~liwa, ~sha

  • 1

    geuza nje kuwa ndani k.v. nguo.

  • 2

    fanya kitu kipindukie upande wa pili.

Matamshi

pitua

/pituwa/