Ufafanuzi wa plagi katika Kiswahili

plagi

nomino

  • 1

    kifaa kinachoshika na kuunganisha nyaya zinazopitishia umeme k.v. katika pasi, redio au mashine.

Asili

Kng

Matamshi

plagi

/plagi/