nominoPlural plasta
- 1
msawazisho wa udongo ukutani.
‘Piga plasta nyumba’‘Tia plasta’lipu
nominoPlural plasta
- 1
kitu kama gome gumu kilichotengenezwa kwa unga maalumu na kitambaa kinachofungwa sehemu ya mwili iliyovunjika ili kuishikanisha mifupa iliyovunjika.
- 2
kitambaa kinachonyumbuka k.v. mpira, chenye kunata na kinachotumiwa kushikizia dawa iliyofungwa kwenye kidonda na kukihifadhi.
Asili
Kng