Ufafanuzi wa ploti katika Kiswahili

ploti

nominoPlural ploti

  • 1

    sehemu fulani ya ardhi maalumu kwa kujengea nyumba au kufanyia shughuli maalumu.

    kiwanja

Asili

Kng

Matamshi

ploti

/plɔti/