Ufafanuzi wa poda katika Kiswahili

poda

nominoPlural poda

  • 1

    unga maalumu ulio laini sana na hutengenezwa ili kutumiwa kwa kujipodolea, agh. na wanawake.

Asili

Kng

Matamshi

poda

/pɔda/