Ufafanuzi wa pofua katika Kiswahili

pofua

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~liana, ~liwa, ~sha

  • 1

    sababisha kutoona kwa kuharibu macho.

  • 2

    toa upepo kitu k.v. punje au nafaka kwa kuminya.

Matamshi

pofua

/pɔfuwa/