Ufafanuzi wa pointi katika Kiswahili

pointi

nomino

  • 1

    kigezo cha kuonyesha ushindi katika mchezo kwa utaratibu wa kutoa alama.

Asili

Kng

Matamshi

pointi

/pɔinti/