Ufafanuzi wa pojaa katika Kiswahili

pojaa

kitenzi sielekezi~lia, ~lika, ~za

  • 1

    pungua uvimbe au upepo katika kitu.

    ‘Miguu yangu ilikuwa imevimba, sasa imepojaa’
    nywea, pwea

Matamshi

pojaa

/pɔʄa:/