Ufafanuzi wa pokea katika Kiswahili

pokea

kitenzi elekezi

  • 1

    pata kitu kutoka kwa mwingine.

    chukua

  • 2

    ‘Tulipokwenda kwake alitupokea vizuri’
    karibisha, laki

Matamshi

pokea

/pɔkɛja/