Ufafanuzi wa pokonya katika Kiswahili

pokonya

kitenzi elekezi

  • 1

    chukua kitu cha mtu kwa nguvu au kwa kudhulumu.

    bwakua, pora, bekua, nyang’anya, kwapua, bakua