Ufafanuzi wa polepole katika Kiswahili

polepole

kielezi

  • 1

    kwa taratibu.

    halahala, asteaste, henezi, taratibu

Matamshi

polepole

/pɔlɛpɔlɛ/