Ufafanuzi wa pomboo katika Kiswahili

pomboo

nominoPlural pomboo

  • 1

    samaki mkubwa wa baharini anayefanana na papa, mwenye rangi ya kijivu iliyochanganyika na hudhurungi, anayedaiwa kuwa hufuata vyombo vya kusafiria.

Matamshi

pomboo

/pɔmbɔ:/